Tarehe ya kuwekwa: May 29th, 2017
Dk.Mahenge aagiza Songea kujenga dampo la kisasa
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Dk.Binilith Mahenge amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea,Tina Sekambo kuwalipa fidia ya sh.milioni 22 wakazi wa Subira...
Tarehe ya kuwekwa: May 23rd, 2017
Manispaa ya Songea kukopesha wajasiriamali milioni 48.8
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea Mkoa wa Ruvuma mwezi huu inatarajia kukopesha wajasirimali wadogo kiasi cha sh.milioni 48.8.
Mafunzo kwa...
Tarehe ya kuwekwa: May 5th, 2017
WATU 87 wamekufa kutokana na ugonjwa wa malaria katika Manispaa ya Songea mwaka 2016 sawa na asilimia 10.9 ya vifo vyote 798 vilivyotokana na magonjwa mengine.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Songea Dk....