Tarehe ya kuwekwa: October 29th, 2019
BENKI ya NMB imetoa msaada wa mabati 175 ya geji 28 yenye thamani ya shilingi milioni tano katika shule ya Msingi Ndelenyuma iliyopo katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma.
Akiz...
Tarehe ya kuwekwa: October 28th, 2019
Timu ya mpira wa miguu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, jana imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya timu ya Nangombo fc, zote za Wilayani hapa katika mchezo wa ligi ya “Uchaguzi Cup” yenye lengo ...