Tarehe ya kuwekwa: July 7th, 2018
UMAARUFU wa mkoa wa Mtwara katika kula nyama ya panya ni fursa mojawapo ya kuvutia utalii mkoani hapa. Hilo litawezekana iwapo jamii ya watu wanaotumia chakula hicho watawekewa mazingira mazuri ...
Tarehe ya kuwekwa: July 7th, 2018
Chanzo cha mto Ruvuma kipo katika milima ya Matogoro iliyopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Mto Ruvuma ndiyo mto mrefu zaidi Afrika Mashariki wenye urefu wa kilometa 730.Unapofikia...