Tarehe ya kuwekwa: April 3rd, 2018
MANISPAA ya Songea kwa kushirikiana na Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Machi iliweka kituo cha wananchi kujitolea damu kwenye viwanja vya soko kuu la Songea.
&n...
Tarehe ya kuwekwa: April 1st, 2018
DINI iliyoanza kuingia katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ni dini ya Kikristo,Mwinjilisti wa kwanza wa Anglikana William Parcival Johnson alianza kuhubiri Februari 9,1881 na alihamia rasmi Liuli mwa...
Tarehe ya kuwekwa: March 31st, 2018
MWENGE wa Uhuru utaingia kutokea mkoani Njombe.Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Ruvuma unakimbizwa kuanzia Juni 3 hadi 10,2018 kabla ya kukabidhiwa mkoani Mtwara .zaidi angalia ratiba hii ya nchi nzima ...