Tarehe ya kuwekwa: January 29th, 2023
Miche ya Miti 350 imepandwa katika viwanda vidogo Lilambo, Kituo cha Afya Lilambo, na Hospitali ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM miaka 46...
Tarehe ya kuwekwa: January 25th, 2023
Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Michael Mbano amewwataka wananchi, Shule pamoja na Taasis mbalimbali kuhakikisha wanapanda miti kwenye maeneo yao kwa lengo la kuboresha na kuyatunza  ...
Tarehe ya kuwekwa: January 19th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema amefanya ziara ya kushitukiza katika shule za Sekondari kwa ajili ya kufanya uhakiki wa wanafunzi walioripoti kidato cha kwanza sambamba na kuzungu...