Tarehe ya kuwekwa: June 25th, 2018
MBUNGE wa Jimbo la Songea mjini Dkt.Damas Ndumbaro leo Juni 25,2018 amefanya mazungumza na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Tanzania.
Mbunge wa Songea mjini na ametumia fursa ya mazungumza na Balozi...
Tarehe ya kuwekwa: June 25th, 2018
MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma,Pololet Mgema amekagua Ujenzi wa Kituo cha kupooza Umeme kilichopo Unangwa Manispaa ya Songea na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa kituo hicho
Mgema ames...
Tarehe ya kuwekwa: June 25th, 2018
SHIRIKA lisilo la kiserikali la USAID PROTECT limetoa msaada wa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi shilingi milioni 46 katika chuo cha mafunzo ya Uhifadhi wa maliasili (CBCTC) kilichopo Likuyu w...