Tarehe ya kuwekwa: September 11th, 2018
PATO la Mkoa wa Ruvuma(Regional Domestic Product-GDP) limeongezeka toka shilingi 3,544,392,000,000.00 mwaka 2015 hadi kufikia shilingi 4,046,849,000,000.00 mwaka 2016.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ...
Tarehe ya kuwekwa: September 11th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imekuwa ikitekeleza shughuli za Mfuko wa wa Afya ya jamii (CHF) tangu mwaka 2006 ambapo hadi kufikia Machi 2018, kaya 7045 sawa na asilimia 11 ya kaya z...