Tarehe ya kuwekwa: September 6th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. ahmed abbas ahmed amewataka viongozi wa Mkoa Ruvuma kuenfdelea kujipanga vizuri katika kuandaa tamasha la la 3 la utamaduni la kitaifa litakalofanyika mkoani Ruvuma...
Tarehe ya kuwekwa: September 3rd, 2024
Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho amewataka wananchi wa mkoa wa Ruvuma kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kupiga kura ili waweze kupata fursa ya kuchagua viongozi bora.
...
Tarehe ya kuwekwa: August 30th, 2024
Kwa mujibu wa sheria kifungu cha 13 cha sheria ya Marekebisho ya mwaka 2021 Namba 3 Baraza la kata lina haki ya kufanya Suluhisho na si kutoa Hukumu.
Baraza la ardhi ya Kata hayana Mamlaka ya...