Tarehe ya kuwekwa: January 27th, 2021
Mstahiki meya Manispaa ya Songea Michael L. Mbano ameongoza kamati ya Fedha na uongozi katika ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo iliyofanyika kwa siku mbili kuanzia tarehe 26 hadi 27 ...
Tarehe ya kuwekwa: January 25th, 2021
Magonjwa ya figo huchelewa kuonesha dalili zake, wahi mapema kupima ili uijue afya yako.“afya yako ndiyo mtaji wako.”
Rai hiyo ilitolewa katika kampeni ya uhamasishaji wa upimaji wa via...
Tarehe ya kuwekwa: January 23rd, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema ametembelea mradi wa Machinjio ya kisasa iliyopo kata ya Tanga Manispaa ya Songea na kuzindua jaribio la awali la matumizi ya mashine mpya na...