Tarehe ya kuwekwa: January 11th, 2023
Manispaa ya Songea imeendesha Bonanza la michezo kwa ajili ya kuwaaga watumishi waliostaafu 25, watumishi wa ajira mpya 67 na kuukaribisha mwaka 2023 iliyoambatana na tafrija fupi iliyofanyika k...
Tarehe ya kuwekwa: January 4th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Songea imepokea Vishikwambi 709 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya kugawa katika shule za Sekondari 25 na Shule za Msingi 82.
Hayo yamejili leo tarehe 04 Januari 2023 katik...
Tarehe ya kuwekwa: January 3rd, 2023
Wananchi wa kata ya Lilambo Manispaa ya Songea wametoa shukrani kwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujenga kituo c...