Tarehe ya kuwekwa: September 26th, 2017
UGONJWA WA AJABU TISHIO KWA WANAFUNZI
UGONJWA wa ajabu ambao umezuka katika shule ya msingi Subira iliyopo katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma tangu Machi mwaka huu bado ni tishio kwa wanafunzi...
Tarehe ya kuwekwa: September 25th, 2017
MILIONI 150 KUKARABATI SHULE YA WASIOONA
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepokea zaidi ya sh.milioni 151 toka TAMISEMI kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa shule ya msingi ya...
Tarehe ya kuwekwa: September 22nd, 2017
OFISI YA KATA MJIMWEMA YAGHARIMU milioni 25.5
MRADI wa ujenzi wa ofisi ya Kata Mjimwema iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umegharimu sh.milioni 25.56.
Afisa Mtendaji...