Tarehe ya kuwekwa: May 5th, 2017
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma,katika kipindi cha kuanzia Julai 2016 hadi Machi 2017 imeokoa kiasi cha zaidi ya sh. 91 ambayo yalikuwa ni malipo hewa.
Mku...
Tarehe ya kuwekwa: April 24th, 2017
WAJASIRIMALI wadogo 200 wa Manispaa ya Songea wamepata mafunzo ya siku mbili ya usalama na afya mahali pa kazi ambayo yametolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi(OSHA).
Mkurugenzi ...
Tarehe ya kuwekwa: April 6th, 2017
Kituo cha afya Mjimwema kuwa hospitali ya Manispaa ya Songea KITUO cha Afya Mjimwema kilichopo katika Manispaa ya Songea,kinatarajia kuanza kutoa huduma ya upasuaji wakati wowote hivyo kuwa na hadhi y...