Tarehe ya kuwekwa: January 30th, 2018
MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema amesema Halmashauri ya Manispaa ya Songea ina upungufu wa vyumba vya madarasa 500 katika shule za msingi na vyumba 72 katika shule za sekondari.
Kutoka na hal...
Tarehe ya kuwekwa: January 29th, 2018
JAMII ya viwavi jeshi aina ya Fally arm worms ambao waliingia katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma tangu Desemba 2017 na kufanya uharibifu wa mazao wamedhibitiwa kwa asilimia 95.
Afisa Kil...
Tarehe ya kuwekwa: January 26th, 2018
UGONJWA hatari wa homa ya nguruwe umeingia katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambapo hadi sasa zaidi ya nguruwe 100 wamekufa.
Afisa Mifugo wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Rozina Chuwa ame...