Tarehe ya kuwekwa: March 23rd, 2018
KAMPUNI ya serikali ya China inayoitwa China Sichuan International Cooperation imesaini mkataba wa miezi 18 na Halmashauri ya Manispaa ya Songea kujenga stendi mpya ya mabasi katika eneo la Tanga kuan...
Tarehe ya kuwekwa: March 22nd, 2018
WAKALA wa Majengo Tanzania(TBA) wamekabidhi bweni mjoa katika shule ya sekondari ya wasichana Songea ambalo limekarabatiwa kwa zaidi ya shilingi milioni 102.
Kabla ya kukabidhi bweni hilo umefanyik...
Tarehe ya kuwekwa: March 22nd, 2018
HATIMAYE Kampuni ya kimataifa ya China inayoitwa China Sichuan International Co-operation Machi 25 mwaka huu inaanza rasmi ukarabati wa barabara za Manispaa ya Songea kwa kiwango cha lami nzito....