Tarehe ya kuwekwa: October 6th, 2019
HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma inatekeleza mradi wa hospitali ya wilaya katika eneo la Mpitimbi ambayo katika awamu ya kwanza inagharimu shilingi bilioni 1.5.Mradi huo ambao hivi sasa u...
Tarehe ya kuwekwa: October 5th, 2019
Mkoa wa Ruvuma umejaliwa kuwa na vivutio lukuki vya utalii likiwemo jiwe la Pomonda lenye vivutio lukuki lililopo katika ziwa Nyasa Halmashauri ya Nyasa mkoani Ruvuma...