Tarehe ya kuwekwa: September 8th, 2020
Mkurugenzi Mtendaji “PADI” Iskaka Msigwa amesema Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu na mtu mwingine ambacho kinaweza kumsababishia madhara kimwili, kingono, kisaikolojia, na kiuchumi.
...
Tarehe ya kuwekwa: September 7th, 2020
Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Ruvuma Victor Nyenza ambaye pia ni Mratibu wa Mfuko wa Afya ya Jamii iliyoboreshwa iCHF amesimamia zoezi la utoaji mafunzo kwa maafisa Waandikishaji 190...
Tarehe ya kuwekwa: September 4th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa agizo hilo leo katika kikao chake cha utatuzi wa Mgogoro baina ya mwekezaji wa ndani na mwekezaji wa nje wa Mgodi wa Makaa ya Mawe una...