Tarehe ya kuwekwa: January 15th, 2019
MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma amegawa vitambulisho 923 vya matibabu kwa wazee.Vitambulisho vimetengenezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Songea lengo ni kuhakikisha wazee wa Manispaa hiyo wana...
Tarehe ya kuwekwa: January 14th, 2019
MKUU wa wilaya ya Songea amegawa vitambulisho vya wajasirimali wadogo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea vilivyotolewa na Rais Dkt.John Magufuli .Mkoa wa Ruvuma umepewa mgawo wa vitambulisho 25,...