Tarehe ya kuwekwa: June 24th, 2021
Naibu Meya Manispaa ya Songea Jeremiah Mirembe Diwani wa kata ya Bombambili ameanza Ziara jana ya kutembelea mitaa 5 mitano iliyopo kwenye kata yake ya Bombambili n...
Tarehe ya kuwekwa: June 22nd, 2021
“Uteuzi wa viongozi hawa unawataka kuja kusimamia malengo ya serikali kwa kuhakikisha wananchi wanaishi sehemu salama.”
Kauli hiyo imetolewa leo tarehe 22 juni na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma...
Tarehe ya kuwekwa: June 18th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Generali “Balozi” Wilbert Ibuge amewapongeza Waheshimiwa Madiwani wa Manispaa ya Songea kwa kukusanya mapato ya ndani kwa zaidi ya asilimia 99.01%.
Hayo yamebainishw...