Tarehe ya kuwekwa: October 8th, 2018
NAIBU Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amesema Kuna upungufu wa walimu wa masomo ya Sayansi zaidi ya 15,000 na kwamba walimu wote wanaosomea masomo ya Hisabati,Sayansi na TEHAMA...
Tarehe ya kuwekwa: October 7th, 2018
SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli imemtambua rasmi mzee Benedict Rasha(Local GPS) aliyegundua kuungua kwa rasilimali ya nchi Madini ya makaa ya mawe mgodi wa Ngaka...
Tarehe ya kuwekwa: October 7th, 2018
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewataka makatibu wa vyama vya msingi vya USHIRIKA vya Korosho kufanya kazi kwa uadilifu na weledi katika mauzo ya Korosho msimu huu.Mndeme alikuwa anazungumza...