Tarehe ya kuwekwa: March 26th, 2018
WATU kumi toka katika Kata za Majengo, Misufini, Bombambili,Matarawe na kata ya mjini Manispaa ya Songea wamepigwa faini ya jumla ya shilingi milioni moja na Mahakama ya Mwanzo ya Mfaranyaki baad...
Tarehe ya kuwekwa: March 25th, 2018
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo tangu Februari mwaka huu, kufuatia kuibuka kwa homa ya ng...
Tarehe ya kuwekwa: March 24th, 2018
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma leo Machi 24,2018 imeuza kwa njia ya mnada wa hadhara mitambo yake 16 ikiwemo magari,Pikipiki na mitambo mingine chakavu na kufanikiwa kukusanya zaidi y...