Tarehe ya kuwekwa: July 17th, 2019
SERIKALI imetoa zaidi ya Millioni 952,katika shule ya Sekondari ya wavulana Songea iliyopo katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma kwa ajili ya ukarabati mkubwa wa Majengo na miundombinu y...
Tarehe ya kuwekwa: July 16th, 2019
VIJANA watano katika Kata ya Matogoro Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wameanzisha kiwanda cha kutengeneza stick za kuchomea mishikaki na kuchokonolea meno.
Mbunge wa Songea Mj...