Tarehe ya kuwekwa: September 28th, 2022
Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Michael Mbano amewataka wakuu wa Idara na Vitengo kuendelea kusimamia miradi Viporo yote na kukamilisha ifikapo tarehe 01 Oktoba 2022 kabla ya kuanza kwa ujenzi ...
Tarehe ya kuwekwa: September 23rd, 2022
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Pendo Daniel amezindua zoezi la umezaji wa dawa tiba na kinga dhidi ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ambalo hufanyika kuanzia tarehe 22 septemba hadi 24 ...
Tarehe ya kuwekwa: September 21st, 2022
FFARS ( Facility Financial Account and Report System ) ni Mfumo wa Uhasibu na Utoaji taarifa za Fedha kwa ngazi ya kituo cha kutolea huduma, ambao unasaidia kuleta...