Tarehe ya kuwekwa: August 20th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Songea leo tarehe 20 Agost 2023 imeandaa mafunzo ya Mfumo wa manunuzi kwa wakuu wa Idara na Vitengo yanayofanyika katika ukumbi wa Manispaa ya Songea kwa lengo la kuboresha ...
Tarehe ya kuwekwa: August 17th, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Mtela Mwampamba amefanya uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa dawa za kinga tiba ya Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ikiwemo na Usubi, Matende, Minyoo na Mabusha...
Tarehe ya kuwekwa: August 17th, 2023
EPZA imetenga fedha shilingi Bil. 5.3 kwa ajili ya kulipa fidia kwa Wananchi 955 wa Kata ya Mwengemshindo, kwa lengo la kupisha maeneo yatakayotumika kwa ajili ya uwekezaji wa mradi ...