Tarehe ya kuwekwa: October 31st, 2024
Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Mhe. Michael Mbano, amewataka waheshimiwa Madiwani kuendelea kushirikiana na wataalamu katika kusimamia miradi mbalimbali ya maendeleo.
Aidha Mhe,. Mbano &nbs...
Tarehe ya kuwekwa: October 30th, 2024
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea, Mhe. Michael Mbano, amewataka wataalamu wa manispaa kuhakikisha wanatekeleza miradi mbalimbali kwa ufanisi na kwa wakati.
Mhe. Mbano amesisitiza umuhimu w...
Tarehe ya kuwekwa: October 28th, 2024
Picha mbalimbali za matukio ya wananfunzi wa Shule ya Chief Zulu wakipata chakula cha mchana ambacho ni zawadi ya Dkt, Samia Suluhu Hassan ambayo aliahidi kuwapatia wanafunzi ng'ombe 2 na...