Tarehe ya kuwekwa: October 22nd, 2024
Kamati ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika kata mbalimbali. Lengo la ziara hii ni kufanya ufuatiliaji wa hatua z...
Tarehe ya kuwekwa: October 14th, 2024
Tarehe 14 Oktoba 2024 ni siku ya maadhimisho ya Hayati Mwl. Julius Kambambarage Nyerere ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe hiyo ambapo kwa Manispaa ya Songea maadhimisho hayo yamefany...
Tarehe ya kuwekwa: October 11th, 2024
Maadhimisho ya miaka 23 ya kuanzishwa kwa kituo cha Afya Mjimwema yamefanyika tarehe 11 Oktoba 2024 ambayo yameazimishwa kwa mara ya kwanza kwa lengo la kufanya kumbukizi ya wapi walipotoka na w...