Tarehe ya kuwekwa: January 22nd, 2025
Picha mbalimbali za washiriki wa mafunzo ya utoaji wa dawa za kinga dhidi ya magonjwa ya minyoo ya tumbo na kichocho yaliyofanyika leo tarehe 22 januari 2025 kwa lengo la kuwawezesh...
Tarehe ya kuwekwa: January 22nd, 2025
Mstahiki Meya Manispaa ya Songea mhe. Michael Mbano amewataka wataalamu wahakikishe wanasimamia utekelezaji wa miradi na kuikamilisha kwa wakati.
Hayo yamejiri wakati wa ziara ya kamati ya fedha na...
Tarehe ya kuwekwa: January 20th, 2025
Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Wakili. Bashir Muhoja ameongoza kikao kazi cha Watumishi wa Halmashauri hiyo kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero zinazohusu watumishi nwa Halmashauri hiyo.
Hayo...