Tarehe ya kuwekwa: May 5th, 2017
WATU 87 wamekufa kutokana na ugonjwa wa malaria katika Manispaa ya Songea mwaka 2016 sawa na asilimia 10.9 ya vifo vyote 798 vilivyotokana na magonjwa mengine.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Songea Dk....
Tarehe ya kuwekwa: May 5th, 2017
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma,katika kipindi cha kuanzia Julai 2016 hadi Machi 2017 imeokoa kiasi cha zaidi ya sh. 91 ambayo yalikuwa ni malipo hewa.
Mku...
Tarehe ya kuwekwa: April 24th, 2017
WAJASIRIMALI wadogo 200 wa Manispaa ya Songea wamepata mafunzo ya siku mbili ya usalama na afya mahali pa kazi ambayo yametolewa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi(OSHA).
Mkurugenzi ...