Tarehe ya kuwekwa: October 23rd, 2024
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Kanal Ahmed Abbas Ahmed, amewataka wataalamu wa Manispaa ya Songea kuhakikisha wanakamilisha miradi yote iliyoingiziwa fedha ifikapo Desemba 2024. Agizo hilo alilitoa katika zi...
Tarehe ya kuwekwa: October 22nd, 2024
Kamati ya Fedha na Uongozi ya Halmashauri ya Manispaa ya Songea imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika kata mbalimbali. Lengo la ziara hii ni kufanya ufuatiliaji wa hatua z...
Tarehe ya kuwekwa: October 14th, 2024
Tarehe 14 Oktoba 2024 ni siku ya maadhimisho ya Hayati Mwl. Julius Kambambarage Nyerere ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe hiyo ambapo kwa Manispaa ya Songea maadhimisho hayo yamefany...