Tarehe ya kuwekwa: June 16th, 2024
Kifungu cha 10 (1) (C ) cha sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya mwaka 2024 ambacho kinaelekeza kwamba Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itasimamia Uchaguzi wa Serikakali za Mitaa kwa kutum...
Tarehe ya kuwekwa: June 15th, 2024
MWENGE wa Uhuru 2024 ukiwa Halmashauri ya Manispaa ya Songea umepita katika tarafa 2, kata 13, Mitaa 39 na umekimbizwa umbali wa KM 98.2 ambapo umepita katika mirad...
Tarehe ya kuwekwa: June 5th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. Ahmed Abbas Ahmed amewataka wananchi kutunza, kuhifadhi mazingira na kulinda vyanzo vya maji ili uoto wa asili uendelee kuwepo na kufanya mazingira kuwa katika hali ya as...