Tarehe ya kuwekwa: June 19th, 2018
Bofya kiunganishi hiki ili kupata orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha TANO, Vyuo vya Ufundi na Vyuo vya Elimu ya Kati kwa mwaka 2018...
Tarehe ya kuwekwa: June 19th, 2018
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo ametoa wiki mbili kuanzia leo kwa Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuhakikisha wanabainisha maeneo...
Tarehe ya kuwekwa: June 18th, 2018
MATUMIZI ya dawa za kulevya hasa kwa vijana bado ni tatizo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kama ilivyo kwa nchi nzima. Takwimu zinaonesha kuwa katika kipindi cha mwaka 201...