Tarehe ya kuwekwa: March 1st, 2018
MKUU wa Majeshi ya Ulinzi na usalama nchini Generali Venance Mabeyo amesema mashujaa 67 wa vita ya Majimaji walionyongwa kikatili na wakoloni wa kijerumani mwaka 1906 walikuwa na uzalendo wa kweli na ...
Tarehe ya kuwekwa: February 23rd, 2018
RAIS wa Tanzania Dk.John Magufuli ametoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya milioni 18 kwa ajili ya zahanati za Halmashauri ya Manispaa ya Songea lengo likiwa ni kuboresha huduma ya afya ...