Tarehe ya kuwekwa: July 11th, 2018
MJUSI huyo alivumbuliwa katika eneo la Tendaguru wilayani Kilwa,mkoani Lindi miaka 100 iliyopita.Mjusi huyo ni kuvutio adimu katika makumbusho ya Berlin nchini Ujerumani ambaye ana uzito wa tani...
Tarehe ya kuwekwa: July 11th, 2018
WATOTO mapacha walioungana Maryness na Anisia Beatusi, wamepelekwa nchini Saudia Arabia kwa matibabu baada ya kupata ufadhili kutokana na uhusiano mzuri baina ya Serikali ya Tanzania na nchi hiyo.
...
Tarehe ya kuwekwa: July 10th, 2018
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa taarifa ya mfumuko wa bei wa Taifa ya Juni 2018 ambapo imeelezwa kuwa mfuko wa bei umepungua hadi kufikia asilimia 3.4 ikilinganishwa na asilimia 3.6 ilivyokuwa ...