Tarehe ya kuwekwa: February 20th, 2018
MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MANISPAA YA SONGEA KUWA,MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA HIYO,UNATARAJIA KUFANYIKA FEBRUARI 21 MWAKA HUU KATIKA UKUMBI WA MANIS...
Tarehe ya kuwekwa: February 15th, 2018
MRADI wa bustani ya Manispaa ya Songea umekamilika kwa asilimia zaidi ya 98 ambapo Mkandarasi tayari amekabidhi mradi huo kwa Manispaa.Mkuu wa Idara ya ujenzi wa Manispaa ya Songea amezitaja kazi zili...