Tarehe ya kuwekwa: October 21st, 2023
Kamati ya Lishe Manispaa ya Songea ikiongozwa na Dkt. Frederick Sagamiko ambaye ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea, wamefanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa Lishe katika kipindi cha ...
Tarehe ya kuwekwa: October 20th, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Songea Mtella Mwampamba amewataka Maafisa Watendaji wa kata kushirikiana na kamati za lishe za kata kuendelea kutoa elimu kwa wazazi namna ya uandaaji wa lishe kwa watoto...
Tarehe ya kuwekwa: October 18th, 2023
Mstahiki Meya Manispaa ya Songea Michael Mbano amewataka wazazi kutoa ushirikiano kwa walimu katika kusimamia zoezi la utaoji wa chakula kwa wanafunzi shuleni ili kujenga ufanisi wa ufaulu kwa wanafun...