Tarehe ya kuwekwa: April 7th, 2019
MAELFU ya wakazi wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma walijitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji mjini Songea ii kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ambaye yupo ...
Tarehe ya kuwekwa: April 6th, 2019
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli leo Aprili 6,2019 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi cha kisasa katika eneo la Kata ya Tanga Manispaa ya Songea...