Tarehe ya kuwekwa: September 2nd, 2019
MRADI wa ujenzi wa zahanati ya Lupapila Kata ya Subira Manispaa ya Songea umegharimu kiasi cha Tsh.40,000,000.
Mtendaji kata Subira Alexander Kapinga ametoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa...
Tarehe ya kuwekwa: September 2nd, 2019
KATA ya Lilambo katika Manispaa ya Songea imeganikiwa kujenga vyumba viwili vya madarasa vilivyogharimu kiasi cha shilingi 1,500,000.
Afisa Mtendaji wa Kata hiyo Agnes Ndunguru amesema kati y...
Tarehe ya kuwekwa: August 30th, 2019
Wajumbe wa Kamati ya siasa wa Mkoa wa Ruvuma wametoa pongezi kwa Mkuu wa shule wa Sekondari ya Wavulana Songea kwa kusimamia ukarabati wa majengo katika kipindi cha mwezi mmoja.
Mkuu wa shule hiyo ...