Tarehe ya kuwekwa: June 14th, 2019
MRADI huu uliopo katika kata ya Tanga Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, ulianza kutekelezwa Julai, 2017,hadi sasa ujenzi wa machijio ya kisasa umekamilika kwa asilimia 100 ambapo ...
Tarehe ya kuwekwa: June 13th, 2019
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhakikisha kuwa wanasimamia mradi wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya hiyo...