Tarehe ya kuwekwa: February 2nd, 2018
KAMATI ya Fedha na Uongozi ya ya Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Songea imefanya ziara ya kukagua miradi iliyotekelezwa katika robo ya pili.
Miradi iliyokaguliwa ni ujenzi wa machi...
Tarehe ya kuwekwa: February 1st, 2018
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Tina Sekambo amesitisha uchinjaji wa nguruwe katika maeneo yote ya Manispaa hiyo kufuatia kuibuka kwa homa ya nguruwe.
Katika kipindi c...
Tarehe ya kuwekwa: February 1st, 2018
MANISPAA ya Songea kupitia Idara ya Mifugo na uvuvi imeanza kutoa elimu kabla kuwaondoa wafanyabiashara wote ambao wanauza samaki katika maeneo ambayo hayapo kisheria hali ambayo inachangia kuikosesha...