Tarehe ya kuwekwa: May 21st, 2018
MAKUMBUSHO ya Taifa ya Majimaji ni moja ya kivutio maarufu cha utalii katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambacho kina utalii wa utamaduni na kishujaa.
Mhifadhi Kiongozi wa Makumbusho ya Taifa ...
Tarehe ya kuwekwa: May 20th, 2018
UJENZI wa barabara ya lami nzito kutoka Mbinga hadi Mbambabay Makao Makuu ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma,umeanza rasmi.Kampuni ya China Henan International Corparation Group Ltd (CHICO) ambayo imein...