Tarehe ya kuwekwa: June 12th, 2018
KiWANDA hiki cha kukoboa Mpunga cha MWEMBERIDHIKI kilichopo Kata ya Misifuni Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, kilianza shughuli ya usindikaji wa Mpunga mnamo Disemba, 2017. Gharama za ujenzi wa...
Tarehe ya kuwekwa: June 12th, 2018
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa katika ziara yake nchini pamoja na mambo mengine amekuwa anasisitiza kuvilinda na kuvitunza vyanzo vya maji vilivyopo.
Akiwa katika Mkoa wa Ruvuma Majaliwa a...
Tarehe ya kuwekwa: June 11th, 2018
GESI asilia iliyogundulika Tanzania ikisimamiwa vizuri inaweza kuongeza pato la ndani la Taifa (GDP) mara 15 ya pato la sasa hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi zenye uchumi ...