Tarehe ya kuwekwa: May 2nd, 2018
Mto Ruvuma ni miongoni mwa mito maarufu barani Afrika na duniani kwa ujumla wake.Chanzo cha mto huo kipo Manispaa ya Songea katika msitu wa serikali uliopo katika milima ya Matogoro.
Mto Ruvuma una...
Tarehe ya kuwekwa: May 1st, 2018
Maandalizi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma yamepamba moto kwa kuhakikisha miradi yote inayotarajiwa kuwekewa mawe ya msingi na kuzinduliwa inakamili...
Tarehe ya kuwekwa: April 30th, 2018
DIRA ya Maendeleo ya Manispaa ya Songea ni kuwa kitovu cha uwekezaji na Mji wa viwanda kwa kutoa huduma bora na endelevu kwa lengo la kuinua maisha ya wananchi.
Dira hiyo inakwenda sanjari na...