Tarehe ya kuwekwa: November 20th, 2023
Baraza la madiwani Manispaa ya Songea limewasimamisha kazi watumishi wawili kutoka idara ya Afya na Idara ya Utawala kutokana na uzembe kazini.
Tamko hilo limetolewa tarehe 20 Novemba 2023 katika u...
Tarehe ya kuwekwa: November 21st, 2023
Katika kufanikisha usimamizi wa utendaji kazi katika utumishi wa umma kila mtumishi wa umma alikuwa anapimwa utendaji wake wa kazi kwa kutumia mfumo wa siri uliojulikana kama ‘‘Taarifa ya Siri ya Uten...
Tarehe ya kuwekwa: November 18th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanal. Laban Thomas ameunda kamati ya watu nane kwa ajili ya kusikiliza kero mbalimbali zinahusu migogoro ya ardhi Mkoani Ruvuma kwa lengo la kupata utatuzi wa migogoro hiyo.
...