Tarehe ya kuwekwa: November 9th, 2017
MSTAHIKI Meya wa Manispaa ya Songea Alhaj Abdul Hassan Mshaweji amesema serikali imekubali kulipa fidia ya sh.bilioni 3.3 za ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwengemshindo Manispaa ya Songea....
Tarehe ya kuwekwa: November 7th, 2017
MKUU Mpya wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametangaza vita ya kupambana na mimba za utotoni katika mkoa wa Ruvuma.Akizungumza na wananchi wa Kata ya Majengo katika Manispaa ya Songea Mndeme amesema ...
Tarehe ya kuwekwa: November 4th, 2017
WAHASIBU katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wanapata mafunzo ya siku tatu ya Mfumo wa Maandalizi na Uwasilishaji wa Taarifa za Fedha(FFARS).Mafunzo hayo yanafanyika kwenye Ukumbi w...