Tarehe ya kuwekwa: March 28th, 2018
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) leo Machi 28,2018 wamekabidhi mabweni matatu na madarasa mawili ya shule ya msingi Luhira iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Akizungumz...
Tarehe ya kuwekwa: March 27th, 2018
OFISI ya Mkuu wa mkoa wa Ruvuma jana iliitisha mkutano wa wadau wa sekta ndogo ya nguruwe kujadili mkakati wa kuzuia maambukizi ya ugonjwa na namna ya kudhibiti ueneaji wa homa ya nguruwe.
Mkutano ...
Tarehe ya kuwekwa: March 26th, 2018
WATU kumi toka katika Kata za Majengo, Misufini, Bombambili,Matarawe na kata ya mjini Manispaa ya Songea wamepigwa faini ya jumla ya shilingi milioni moja na Mahakama ya Mwanzo ya Mfaranyaki baad...