Tarehe ya kuwekwa: June 13th, 2019
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhakikisha kuwa wanasimamia mradi wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya hiyo...
Tarehe ya kuwekwa: June 13th, 2019
HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ina jumla ya viwanja 35,500 vilivyopimwa katika maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo.
Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Tina Sekambo amesema Kati ya hivyo vi...