MKUU wa Mkoa wa Simiyu anavyokerwa na tabia ya wakuu wa wilaya kuwaweka ndani watumishi wa umma ambapo amesema katika Mkoa wake amepiga marufuku tabia hiyo
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amefanya Kikao na Madiwani wa Wilaya Chunya amewataka Madiwani hao kuweka tofauti za Vyama vyao pembeni ili wawatumikie wananchi pia akatolea ufafanuzi tamko alilotoa la kutaka Kijiji cha Ngole wananchi wote wakamatwe.
MTAZAME Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Alhaj Abdul Hassan Mshaweji akitolea ufafanuzi sababu zilizowaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kuondolewa katika Barabara kuu ya Sokoine ya Songea
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa