Mh. Kelvin Mapunda Mwenyekiti wa ALAT Mkoa Ruvuma, ameongoza wajumbe wa kamati ya ALAT Mkoa wa Ruvuma katika kutembelea miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo iliyofanyika jana 31 Mei 2022.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa