TAZAMA mradi wa machinjio ya kisasa katika Kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambao umefikia Zaidi ya asilimia 65 ambao unagharimu Zaidi ya bilioni 3.2.
mkataba wake ni wa mwaka mmoja ambao umeanzia Julai Mosi 2017 na kukamilika Julai mosi, 2018.Hata hivyo Mkandarasi huyo aliomba kuongezewa miezi mitatu ili kukamilisha kazi hiyo na kuzitaja sababu zilizochelewesha mradi huo kuwa ni marekebisho ya michoro,kuchelewa kukabidhiwa mradi na kuongezeka kazi za ziada ikiwemo uzio na barabara.Mkandarasi huyo amesema hivi sasa kinachoendelea ni ujenzi wa zizi,wigo na kazi ya ukamilishaji(finishing).
TAZAMA yalioyojiri katika ujenzi wa kituo cha Afya kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea ambapo serikali ya Awamu ya Tano imetoa milioni 400 za kusaidia mradi huo
FUATILIA makala hii ambayo inazungumzia umuhimu wa usimamizi wa rasilimali za nchi ikiwemo madini kuzalishwa kwa kuzingatia sheria za nchi zilizopo.Kwa miaka kadhaa serikali imepoteza mabilioni ya fedha katika sekta ya madini kwa kutosimamia sheria za madini
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa