RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ameshauri watanzania kutumia huduma za mawasiliano toka Kampuni mama ya mawasiliano ya TTCL kutokana na huduma za Kampuni hiyo kuwa katika kiwango cha juu.
Vijana wa kitanzania wenye umri wa miaka kati ya 21 na 35 mnashauri kuomba ufadhili wa mafunzo ya namna ya kutengeneza miradi ya ujasiriamali ambayo yanatarajia kufanyika nchini Ujerumani Oktoba mwaka huu.Tarehe ya mwisho wa kuomba maombi ni Juni 24,2018.Zaidi mtazame Mtaalam wa NEEC anafafanua zaidi.
MRADI wa bustani ya Manispaa ya Songea umekamilika unatarajia kuanza kufanyakazi wakati wowote mwaka huu,ambapo Mkandarasi tayari amekabidhi mradi huo kwa Manispaa.
Mradi huo umefadhiliwa na Benki ya Dunia kwa gharama ya shilingi milioni 399.Hata hivyo mradi huo hadi kukamilika umetumia shilingi milioni 444,fedha zote zikiwa ni za mradi wa Benki ya Dunia
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa