Mradi wa ujenzi wa Stendi ya mabasi katika kata ya Tanga Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma umefikia asilimia 45.Mradi huu unatekelezwa na Kampuni ya China Sichuan International (SIETICO) .Mradi huu ni wa miezi 18 ambao umeanza Machi 2018 na unatarajia kukamilika Septemba 30,2019.
MKUU wa wilaya ya Songea Pololet Mgema ametaja mafanikio ya serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt.John Magufuli katika Wilaya ya Songea na Taifa kwa ujumla wake.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa